hapo ni picah ya pamoja waheshimiwa na staffs wa taris group of companies,,,huyo mwenye suti nyeupi ni chef martin jamaa anatoa vitu balaa akiwa mitamboni
kila kina ni rangi za bendera,,,,,
Hapo ndipo alipoandaliwa Mgeni rasmi Mh Jakaya kikwete
hii ilikua siku ya mashujaa,,,mapango mzima ulifanyika hapo, kuanzia vinywaji mapka misosi mzigo tuliiusimamai wenyewe
counter hapo,,,very artistic...
hapo unapoingia tu unakutana na huo mtumbwi ,,,unakufikisha mpaka ndani,,,